Christian Kasereka Mupika: Ikolojia ya kilimo, kilimo endelevu, na maendeleo ya kidigitali katika kilimo yata boresha kazi ya wakulima jimboni Maniema.
Kupata uelewa mzuri zaidi wa hali ya eneo husika ili kuboresha mipango ya kilimo. Hili lilikuwa lengo la mafunzo ya siku tatu yaliyohitimishwa hivi karibuni mjini Kindu. Wafanya kazi katika sekta ya kilimo jimboni Maniema walipata mafunzo kuhusu ikolojia ya kilimo, kilimo endelevu, na namna ya kutumikisha maendeleo ya kidigitali katika kilimo.
Lire l'article complet sur Radio Okapi
Source originale →