Deodata Bunzigiye, Katibu Mtendaji wa shirika Alpha Ujuvi mjini Goma, azungumzia umuhimu wa kujua kusoma na kuandika.
Dunia huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kujua Kusoma na Kuandika kila tarehe 8 Septemba. Mada ya kimataifa iliyochaguliwa na UNESCO mwaka huu ni "Kujua kusoma na kuandika kwa ajili ya ustawi," huku mada inchini ikiwa ni "Kujua kusoma na kuandika na changamoto za mabadiliko ya mazingira. Ili kufahamu zaidi kuhusu umuhimu wa mada hii, leo tunampokea Deodata Bunzigiye, Katibu Mtendaji wa shirika Alpha Ujuvi mjini Goma, ambaye anazungumza hapa na Bernardine Diambu.
Lire l'article complet sur Radio Okapi
Source originale →



