Cédric Luc Tchumbu, mkurugenzi kiufundi wa Ofici ya usafiri majini katika sekta ya Lualaba-Ubundu-Kindu: Sekta hiyo imepata Meli ya elekekezi baharini.
Ofici ya usafiri majini imepata meli mpya ya kuweka alama za uelekezi baharini kwa ajili ya eneo lake la Lualaba-Ubundu-Kindu. Hii ni ya kwanza ya aina hiyo katika kipindi cha zaidi ya miaka 40. Tunaz…


