Augustin Atibu Mulamba, meya wa mji wa Kindu: Kila familia ina pashwa kuwa na nafasi ya kuweka uchafu.
Kuhusu suala la udhibiti wa uchafu katika mji wa Kindu, leo tunaungana na Augustin Atibu Mulamba, meya wa mji huo, ili kujadili juhudi za viongozi katika eneo hili. Augustin Atibu Mulamba anazungumza na Florence Kiza Lunga. /sites/default/files/2026-09/0509026-kindu-invite_sw-atibu_muamba_augustin00.mp3
Lire l'article complet sur Radio Okapi
Source originale →



