Publicité
Orange Fibre Entreprises
Orange Money Particuliers
Orange Fibre Particuliers
International

Cédric Luc Tchumbu, mkurugenzi kiufundi wa Ofici ya usafiri majini katika sekta ya Lualaba-Ubundu-Kindu: Sekta hiyo imepata Meli ya elekekezi baharini.

Cédric Luc Tchumbu, mkurugenzi kiufundi wa Ofici ya usafiri majini katika sekta ya Lualaba-Ubundu-Kindu: Sekta hiyo imepata Meli ya elekekezi baharini.

Ofici ya usafiri majini imepata meli mpya ya kuweka alama za uelekezi baharini kwa ajili ya eneo lake la Lualaba-Ubundu-Kindu. Hii ni ya kwanza ya aina hiyo katika kipindi cha zaidi ya miaka 40. Tunazungumza na mkurugenzi wake wa kiufundi, ambaye anaelezea faida za kifaa hiki cha kiteknolojia kwa eneo la Lualaba na mikoa husika. Mgeni wetu, Cedric Luc Tchumbu, anajadili suala hili pamoja na Florence Kiza Lunga.

Read the full article on Radio Okapi

Original source →
PublicitéOrange Solutions Entreprises
Publicité
Orange Fibre Particuliers
Orange Fibre Entreprises
Orange Money Particuliers