Publicité
Orange Money Particuliers
Orange Fibre Particuliers
Orange Fibre Entreprises
International

Hugue Katembo: Wahanga wa mafuriko ya mto mjini Kindu wapewa msaada na shirika MIDEFEHOPS

Hugue Katembo: Wahanga wa mafuriko ya mto mjini Kindu wapewa msaada na shirika MIDEFEHOPS

Tuna mpokea leo Hugue Katembo, kama mwalikwa wetu wa siku. Huyu ni kiongozi wa mradi ya jibu kwa janga za mafuriko ya mto mjini Kindu, jimboni Maniema. Mradi Iyi yatekelezwa na Shirika la haki za mtoto, mwanamke na wanaume wajane, MIDEFEHOPS. Familia 800 ya waasiriwa wamefaidika tayari na msaada wa kipesa ili kuwa ruhusu wajenge mahali pengine watakako ishi kwa usalama. Hugue Katembo, hutoa maelezo zaidi alipo hojiana na Florence Kiza Lunga.

Read the full article on Radio Okapi

Original source →
PublicitéOrange Solutions Entreprises
Publicité
Orange Money Particuliers
Orange Fibre Entreprises
Orange Fibre Particuliers